Camp Toyoyo Stadie nira Jericho

July 31 2015 12:42pm     0 891

Photo Credit:SSEJO   Tingua risto

Date 30th July 2015 wasee wa Jeri na environs ni wasee wako happy sana, baada ya Vice Orezo William Ruto kutingua Stadie husuko Jeri uwanjo.

Tunatambua vipoa sana kwa hiyo uwanjo ya Jeri ime mochoa talents mob sana. Majority ya team mzima Harambee Stars National team ni raiya ime play ball yao hasapo kwa uwanjo ya Jeri Camp Toyoyo. Legends kama Joe Kadenge, Murila, Michael Okoth, Tom Ogweno, Moris Sunguti, Musa Otieno na wengine wengi ni wasee wamechezea ball ya hasapo Camp toyoyo.

Shukran zote zina mwendea Bernard Mutura MP wa Makadara yeseye ndio ameskuma hadi hii project ikafaulu. Stadie yenyewe so far haija katika, juu bado haija sundwa Flad light, terrace area yaw a see kupoa ni vitu zingine kadhaa. So far ime cost mita chwani kutoka kwa doo ya CDF.

Hii stadia inasemekana itakuwa ina host premier league na mechi zingine sodi sidi kwa hisiyo uwanjo. Na bado pakiwa na functions zingine bado ita weza host, but kuingia wasee wata have kukanja.

Palikuwa na prominent figures kama zao ma senator akina Sonko, Baba yao Waititu, Magarate Wanjiru, Markomen, MPs, wasee wa media akina Fred Arocho akiwa MC, Alpha Opidi, Polosa na wengine wengi. 

Related Stories